Recent content by ack loyruck

  1. ack loyruck

    UKAWA the geniusity of minority

    Kwann watu wanapenda kutukana ? Kwan kumwelimisha mwenzako kunaitaji matuc! Kama yanahitajika bac na walim wanapaswa kutumia matuc wanapofuneish mambo mbalimbali
  2. ack loyruck

    Unafki wa karne wa Zitto Kabwe

    Jaman naomba kuuuliza hapa
  3. ack loyruck

    Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    HAMY-D binafc nilipiga kura ila kwa tafakari zangu za dhati kabisa nilitafakari mengi kabla na wakati wa mchakato wa kupiga kura, kwanza nilimwona lowasa hajakuwa kisiasa na hajakooma kisiasa kwa kushindwa kukubali matokeo yaliyotokea pale mjini dodoma wakati wa kutafuta mgombea wa ccm , hivyo...
  4. ack loyruck

    Maswali 3 au 4 ya Ugomvi: Kwa Wanaomlilia Maalim Seif...

    Mm nina maoni tofauti kidogo na wachangiaji wenzangu , kwa mawazo yangu nahic mamulaka yenye kucmamia uchaguz zanzibar haijafanya haki kwa kutangaza mshindi kutokana na idadi ya wapiga kura na mavuno ya kura kwa wahucka, maana yangu ni kwamba kama kura za zanzibar zinarudiwa vipi hapa tangqnyika...
  5. ack loyruck

    Nape Nnauye anahitaji udhibiti wa kichama wa haraka, atatudhalilisha!

    Katika suala la maendeleo huwa ha2angalii chama,acheni utoto baac nyie c wakubwa 2 au
Back
Top Bottom