wewe mkuu said magufuli ni rais bora kuwah kutokea tanzania jaman nampenda magufuli mwokozi wa makapuku,maendeleo na demokrasia haviwez kwenda pamoja tambueni hilo
ukifiwa haimanishi watu wasilewe lahasha serikali haiwezi kutimiliza matakwa ya watanzania wote hata siku moja nani anayekubalika na watu wote hata muumba kuna watu wanamkataa sembuse serikali,serikali itapongezwa na kulalamikiwa mpaka miisho ya nchi,is not by how much we lose our hope life must...
tuliopata mikopo si kama vile tupendavyo bali apendavyo mungu,heshima na utukufu vina wewe mungu wetu lakini pia naishukuru serikali ya jamhuri ya muungano kutusaidia watoto wenye hali za chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.