Recent content by Acha Maneno

  1. A

    Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Mmmh! Soma kwanza Uzi kabla hujachangia. Huyu paka sio wang na wala sijampiga.
  2. A

    Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Sio Paka wang, ni huruma tu ndio imenifanya nilivalie njuga hili suala. Mimi mwenyewe binafsi sina pesa, na ninaishi maisha ya chini.
  3. A

    Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Hakuna msaada kwa serikali, au kitengi maalumu cha kusaidia wanyama? Nauliza hivyo kwasababu uchumi wang sio mzuri
  4. A

    Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Sawa, ila huyu paka kavunjika mguu. Nahisi atahitaji kuchunguzwa zaidi. Hospital ndio suluhisho naamini..
  5. A

    Msaada: Wapi wanahudumia paka mwenye matatizo ya kiafya

    Habari, Kuna paka wa jirani hapa wamempiga jiwe kiasi kwamba mguu wake mmoja hawezi kutembea tena na anamaumivu sana. Naomba msaada nifahamu ni sehemu gani inawezekana kumpeleka akapata matibabu. NB: Wenye paka wamemuacha kama alivyo na hawajachukua hatua yoyote ya kitabibu 😢 NAUMIA SANA...
  6. A

    Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

    Samahani kwa Kuchelewa kujibu. Ninaweza kuandaa Ndio.
  7. A

    Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

    Nilishawahi kuomba Mkuu.
  8. A

    Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

    Nashukuru Mkuu, Kama hautojali naomba unisaidie kunitajia Taasisi zinazotupa kipaumbele watu wenye matatizo kama nililokuwa nalo.
  9. A

    Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

    Hilo ndilo lengo langu Mkuu lakini nakwama mtaji. Nimejaribu kujiajiri lakini mambo ni magumu (sina mtaji) nilifungua Duka la mangi lakini biashara ikafa kutokana na ugumu wa biashara na mtaji kuwa mdogo. Nikapambana kufungua biashara nyengine licha ya kuwa sina mtaji unaoeleweka lakini nayo...
  10. A

    Tusiosikia vizuri tutaajiriwa na nani?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila ya kupata majibu 😭 Nimehitimu Diploma ya Uhasibu kwa shida sana, maana nilikuwa natumia nguvu ya ziada kutafuta wanafunzi wenzangu wanisaidie walichofundisha Lecturers Darasani kwakuwa nilikuwa sisikii wakifundisha. Baada ya kufaulu na kupata...
  11. A

    Msaada: Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?

    Hili tatizo ninalo miaka zaidi ya 15. 1) Nimepoteza marafiki kwa kuonekana mzigo (Kunitenga). 2) Chuo nimesoma kwa tabu sana. Nilipata Diploma ya uhasibu na ufaulu wa kuendelea Degree lakini nilishindwa kutokana na ugumu wa kujifunza Chuoni. INAUMA LAKINI NDIO HALI HALISI NILIYOKUWA NAYO...
  12. A

    Msaada: Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?

    Habari, Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania? Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida. Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani. Naomba mwenye...
  13. A

    Nina tatizo la kutosikia vizuri, natafuta kazi

    Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate. Nina changamoto ya usikivu hafifu. Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa za ajira sana hadi ikafikia kipindi napata msongo wa mawazo. Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia...
  14. A

    Coco Beach

    Habari zenu, Hivi ukienda kuogolelea peke yako Coco, mali zako unaziacha sehemu gani ili ziwe salama?
  15. A

    Hisense SmartTv inauzwa

    Nauza SmartTv kampuni ya Hisense inch 40 kwa 500,000 tu. Box na Risiti vyote vipo. Tv haijawahi kwenda kwa fundi na wala haina shida yoyote. Mawasiliano 0626753305 Napatikana Dar es Salaam.
Back
Top Bottom