Recent content by ACCER

  1. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    January,kijana mchapakazi sana na mwenye bidii
  2. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Njaa inapohama kutoka tumboni kwenda kichwani ni jambo la hatari sana.
  3. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Si haba nyie mnaweza kuja part2 za EPA, Richmond nk yaani mizee yote ndiyo imefilisi mashirika ya umma bado zee lingine linataka Tanesco nayo hadi ime
  4. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Kwani EPA, Dowans, Richmond na IPTL inaifanyia nini Tanzania kwa sasa?
  5. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Kwani EPA, Dowans, Richmond na IPTL inaifanyia nini Tanzania?
  6. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Kwani EPA, Dowans, Richmond na IPTL inaifanyia nini Tanzania?
  7. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Harambee inasadia sana kujenga makanisa na misikiti
  8. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Kwani EPA, Dowans, Richmond na IPTL inaifanyia nini Tanzania?
  9. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Sio bure wewe utakuwa mwenda wazimu miaka yote pale ikulu unadhani alikuwa anafanya nini?
  10. A

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    1.Amelelewa vizuri kisiasa,hana papara na ameijua vizuri sana system ya utendaji kazi serikalini kwa kufanya kazi ikulu kwa karibu sana na rais na kushuhudia jinsi serikali inavyoendeshwa. Pia amekaa katika baraza la Mawaziri kipindi chote alichokuwa ikulu na kuelewajinsi sera na mipango...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaweza kuwa mgombea Urais 2015, kwa afya yake ataweza kuzunguka nchi nzima?

    Ni jambo jema kwa sasa wazee(mababu) wakipumzika na wakacheze na wajukuu maana wameifikisha hii nchi hapa ilipo umeme ghali,maisha ghali na kama haitoshi wanawachafua vijana wenye uwezo wa kuongoza nchi kama wakuu wa nchi,mf Zitto na Makamba Jr
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

    Mbowe mnafiki mkubwa wewe umepewa nyumba Dar na dodoma na mlinzi pamoja ofisi na VX, na pia ukimaliza kama kiongozi wa kambi rasmi bungeni utapewa mil200 kama kiinua mkongo lakini ukiachia uenyekiti tu utakosa hiyo fursa
  13. A

    JamiiForums Tanzania Majibu ya maelezo ya Tumaini Makene juu ya Waraka aliojibu

    Wewe jamaa wewe unataka kumpoteza Tumaini kwenye ramani sasa hayo maswali ni ya Lissu na Dr Slaa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Ule waraka wa MM 2013 umezungumza ukweli kwa kila mhusika na sasa unajidhihirisha kwa kila mtu
  15. A

    JamiiForums Tanzania Albert Msando apotoka tena

    No,Lets call a spade spade...
Back
Top Bottom