Mimi nadhani hao si mabilionea ni watu corrupt au nitumie neno mafisadi wanaojua kutumia vizuri fursa za mfumo uliopo wa nchi na wa dunia kiujumla.
Mfumo au system ikiwa mbovu isiyo na maadili na haki hutengeneza watu wa aina hiyo.
Ni sawa na kuwaita BARRICK GOLD kuwa ni majambazi eti kwa kuwa...
Kwa mtazamo wangu binafsi naona watanzania bado ni wachanga sana kuweza kutunga katiba, tunacho takiwa kufanya ni kuiga katiba bora duniani ya Marekani na kufanya marekebisho kidogo kuendana na nchi yetu.Marekebisho hayo yafanywe na wataalamu waliobobea na wazalendo.Ili tuendelee tunahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.