Recent content by abvan

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya kozi hii ya UDSM na SUA?

    Fata moyo ndugu ...Ilihitaji upange hili mapema mno ili kuepuka kuishi mitazamo ya wengine
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je hii ni kweli kuhusu elimu ya Sokoine University (SUA)?

    Unaweza ILA jiandae kwa yote maana taratibu za kusoma hapa nchi huwa hazitulii
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je hii ni kweli kuhusu elimu ya Sokoine University (SUA)?

    Kukariri kupo takriban kokote ktk nyanja ya elimu ....ila kwa sasa sua pamebadirika kiasi kikubwa ..maana simbi zinagoma mnoo ILA km unaweza unaweza Tu hakuna namna shule itakuwa rahc
  4. A

    JamiiForums Tanzania HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    Duuh watu kwa kupanga panga mambo
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeandikiwa hivi inamaanisha nini wadau?

    mkuu umepongezwa tu kwa kukamilisha machaguzi yako yote matano ,hivyo vuta subra uone wapi watakupanga .
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu kakwama school fees, afanyeje apate ufadhili na kuendelea na masomo?

    weka maelezo toshelezi ili iwe rahisi kushauri
  7. A

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanafunzi waliopata Mkopo Chuo kikuu MUM 2016/2017

    Hongera mnoo kwao
Back
Top Bottom