Recent content by abuupancho

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo achukua ardhi ya mwekezaji na kuwapa wananchi

    Na kuna dada mmoja ana acre zake 500 anataka kumyanganya nae huko huko msata tena kanunua legally kabisa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo achukua ardhi ya mwekezaji na kuwapa wananchi

    Anatafuta kick tu huyoo nae...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Sema chochote kuhusu Middle East

    Madai yako sio kweli mkuu yakusema kuwa wao ndoo race yenye akili zaidi hapa duniani? Ungesema wao ndoo mabingwa wa fitna katika hii duniani ningekuelea.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Bombardier and Government of Tanzania Sign Purchase Agreement for Two Q400 Turboprops

    Hizoo ndoo jirani yetu kagame ametushauli tununue jamani,wakati yeye kununua Airbus
  5. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    Kaka link hiyoo ya translate
  6. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    TextGrabber + Translator - Android Apps on Google Play
  7. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    Jamaa ni mjuba kwenda mbele,ni them kagame,Museveni types huyoo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    Ni textgrabber inaitwa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    Point hiyoo [emoji106]
  10. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    This is not from western media kaka Neither i don't trust them kabisa
  11. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    Sio lazima uwamini kaka Ila jamaa am yake kubwa ni awe president wa uturuki for life
  12. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    Kwa nini Wao wanamapinduz wa kijeshi walishindwa kudondosha ndege ambayo Erdogan alikuwepo na ilikuwa pembeni yao?hilo ni Fumbo Mapinduzi Marubani Alikuwa Erdogan Ndege Katika vituko yao na hawakufanya kitu 1 na Tyler Durden Jul17,201611: 18pm HISA NIO Kuangalia nyuma katika walishindwa Kituruki...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    Ila nai translate ktk mashine maneno Mengine hayato nyooka vizur ila utayaelewa jembe langu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Urusi ilimshtua Erdogan (Uturuki) dakika za mwisho za coup!

    Ha ha haya sawa
Back
Top Bottom