kama itakuwa hivyo atawakomboa watanzania wa kipato cha chini mana mabepari hawatujali wanazima mitambo ya analogia huku ving'amuzi vikiuzwa ghali na vingine chanel zinazingua alete ataungwa mkono
Me siamini kama jeshi linaweza kumpandisha askari cheo kama mnavyo fikiria hii mada ingekuwa matumizi ya nguvu yanayofanywa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ingekaa pouwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.