Recent content by abuu_raas22

  1. A

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nashauri unapolipia luku kumbukumbu za LUKU namba ya mita tuipate kwenye simu kama zamani sio kwenda kusoma mita kama ilivyo sasa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba mmiliki wa Guest House anagawana dhambi na wateja wazinifu?

    Hapa natatanika kujenga guest ni dhambi ,na duniani kote kuna nyumba za kulala wageni ! Hakuna dhambi ikiwa utaweka sheria hairuhusiwa kupanga short time na wanaruhusiwa wana ndoa tu! Utakuwa umefanya wajibu wako kuzuia uchafu.Ni kama kusema Mwezi wa Ramadhani ni haramu kuuza chakula ilhali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kinaendelea katika kampuni ya mafuta ya Lake Oil?

    Wivu itakuuwa,Umejaliwa chuki na kila mtu amegawiwa riziki yake na Mungu. Ukiweza panda juu ukawazibie matajiri,[emoji32]
  4. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama mzazi wa Mh. Mrisho Gambo amefariki dunia akiwa India kwa matibabu

    Tunamwomba Allah amrehemu na kumlaza mahali pema mama wa Mrisho Gambo. Ila kuna wanaombeza Gambo wakati huu wa msiba wa mamake,wajue malipo ni hapa duniani na wao iko siku wengine watasherehekea mazito yao.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Polisi hawaruhusiwi kuchukua kesi za kudaiana hela

    Haya mabush lawyers wamepata pa kuanzia [emoji16][emoji16]
  6. A

    JamiiForums Tanzania Huyu Bwana ati Anaagiza Usalama waniue!

    Kweli anavyoonekana na vazi lake ni mtoto sii riziki ,na akili zake ziko kulee kwenye rectum
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuchanganya kokoto na korosho lanoga, Mkuu wa Wilaya aagiza kamata kamata

    Kwa tamaa zao na kuharibu jina la nchi yetu,wanapofikisha korosho kupimwa zimagwe na kukaguliwa kisha wazipaki,na kila ushirika iwe na nembo yake ili likitokea hadaa hizi iwajibike
  8. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwonekano kutoka juu wa shule ya sekondari ya Ihungo iliyopo mkoani Kagera

    Tukio ilionekana ni maafa lakini imekiwa ni ya kheri kwa baadhi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jamani nakumbushia michango

    Umepata??
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kulialia na kupinga kila kitu ndio mbinu ya kubaki kileleni Ufipa.!

    Asante mbung'i, Wabadilisha channel wataweza kufika mbali !!
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kulialia na kupinga kila kitu ndio mbinu ya kubaki kileleni Ufipa.!

    Mkubali msikubali sera kuu ya Chadema ni uchochezi, hawana jipya kwa miaka zaidi ya 15
  12. A

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la Kampuni ya New Force lapata ajali ya kugongana na gari ndogo maeneo ya Iyovi

    Mmeelezwa ni uzembe wa dereva wa gari dogo mnarusha lawama kwa New Force,wacheni upumbavu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mimi haitatokea niandamane kwa akili za kuambiwa

    Hizo sio akili za mange ila anatumika kama feni kupuliza moto kwa malipo uchwara huku wanaomtumia wanajifanya hawamo,.Hao wanaojiita wapinzani yaliwashinda wakijitokeza waziwazi na hata hili la kisirisiri watafeli, na sheria inachukua mkondo wake.Wale wa majibu ya matusi mshike adabu zenu in...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wanyonya damu walikuwa wanaipeleka wapi damu?

    Yalikuwa matisho tu kuogopesha watoto kucheza mbali na majumbani huko vijijini,ni kuanzia 1960s
Back
Top Bottom