Kweli mtoto kwa baba hana ujanja Obama ni kama baba yao hivyo hawezi kushuhudia kuona mwanae anaadhilishwa na chadema mbele yake laki msijali atakuja ataondoka mziki uko palepale lazima mtu mzima aumbuke wao wana nguvu ya jeshi sisi tuna nguvu ya mungu.
mimi nadhani ndoa haina fomla unaweya upende lakini usipendwe mwisho wa siku hujui hata wapi yameanzia ndoa nimajanga kwakweli tuombe mungu sana ndoa zetu zidumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.