Recent content by Abuu Ibraahiym Sibomana

  1. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania Kilimo hai, bora na cha kisiasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  2. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania Kilimo hai, bora na cha kisasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA. Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  3. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

    Waliopigwa risasi ni panyaroad na ndio waliofanya uharibifu wakishirikiana na vijana wengine toka nje ya nchi!.
  4. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Kama hamuogopi polisi mbona rais kaapishwa , Heche yuko ndani na hamfanyi chochote ?
  5. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Napatikana Moshi mjini kata ya Pasua mtaa wa Mandera mkoa wa Kilimanjaro. Nawaalika panyaroad nyote njooni muone kama siwavunji makende yenu na kuwang'oa meno.
  6. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Waswahili wanasema: "Nyani haoni kundule!" Waarabu wanasema: " رمتني بدائها وانسلت"
  7. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Uongooo! Wewe mbona hujapigwa risasi au uliandamana mtandaoni?! Waliouawa na polisi ni panya road pamoja na vijana wengine toka nje ya nchi waliokuja kuwaunga mkono panyaroad kwenye vurugu zao dhidi ya wapigakura!.
  8. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Si kapteni wenu wa mchongo Tesha aliwaambia jeshi litakuwa pamoja na panya road kuwaunga mkono kwenye vurugu zao sasa ilikuwaje tena jeshi litulize mambo?!
  9. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Kapteni wenu Tesha mliekuwa mnamdhabikia kuwa atawalinda dhidi ya polisi yuko wapi?! Si alisema polisi yeyote atakaefyatua risasi dhidi ya raia atakula nae sahani Moja?! Mimi nasema "WATU WALIOKUFA KWENYE VURUGU NI WACHACHE SANA!. ILITAKIWA WAFE WENGI SANA WEWE UKIWA MMOJA WAO LAKINI NADHANI...
  10. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Hao walioumizwa ndio waombe msamaha kwa jaribio lao la kuvuruga amani na utulivu wa nchi yetu.
  11. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Waswahili wanasema asiyesikia la mkuu huvunjika guu, pia asiyefunzwa na mamie hufunzwa na ulimwengu. Hao vijana waliokufa kwenye vurugu ni malipo ya ukaidi wao wa kutotaka kutii mamlaka. Hasara ni kwa wazazi wao walioshindwa kuwalea malezi sahihi yanayofundisha kuwaheshimu wakubwa. Kwanza...
  12. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Watu waliokufa ni wachache sana. Nalishauri jeshi letu la polisi wakati mwingine liongeze nguvu zaidi kuhakikisha kuwa watu wanaotaka kujaribu kuleta vurugu na UVUNJIFU WA AMANI KATIKA NCHI YETU wanadhibitiwa mapema. Inasikitisha kusikia kuwa wengi waliokamatwa kwenye vurugu hizo wametoka nje ya...
  13. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Hao walioumizwa ni watu walikuwa wanapenda kutumia. Ugonjwa wa kujitakia mtu hapewi pole. Kwanza taarifa ya polisi inasema watu waliokuwa viongozi wa maandamano na vurugu sio watanzania. Sasa kama mtu katoka nchi jirani kuja kufanya fujo nchi nyingine unaanzaje kumsikitikia?!
  14. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Thubutu! Kaandamane uone nini polisi watakufanya! Mimi nasema hata mwanangu akifanya ukaidi na ujeuri kwa mamlaka zinazoongoza nchi, lolote litakalomkuta potelea mbali!. Kuandamana ni kujitafutia matatizo yasiyokuwa na sababu. Na ugonjwa wa kujitakia mtu hapewi pole! Kama kuna mtu alikufa kwenye...
  15. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tutarajie kuimbishwa wimbo gani baada ya Uchaguzi?

    Mwanzo ilikuwa M4C. Halafu ikawa people's power! Mara ikaja hii ya No reforms no election!. Sasa nadhani baada ya uchaguzi pataanzishwa wimbo mwingine kwakuwa , NO REFORMS NO ELECTION itakuwa imeexpire! Lakini pia kurudi kuimba people's power pia haifai kwakuwa itakuwa kujidanganya...
Back
Top Bottom