Recent content by Abuu Bardizbah

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu huawei y220 nashindwa ku install fb inaandika invalid

    Ikifikisha asilimia mia kupitia google play mwenyekujua anijuze wakuu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata taasis au mfadhil wa kunisomesha diploma ya clinical medicine

    Jaman nisaidien katka hili
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyechagua vyuo vya afya kupitia nacte online admission system anisaidie hil

    Jinsi ya kuhama chuo kupitia noas katka kpnd hk kabla ya trh 20 agust nisaidien katka hl
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jinsi yakubadili chuo kupitia NOAS

    Bado hawajapatkana wenye kunisaidia tu nisaidien katka hili
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jinsi yakubadili chuo kupitia NOAS

    Jaman nisaidien
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jinsi yakubadili chuo kupitia NOAS

    Nilichaguliwa KAM COLLEGE ni ka comfirm ila nimeshindwa kujiunga sasa nimepata nafasi chuo kingine cha karibu sasa nataka kufahamu jinsi ya kuhama kupitia noas.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata gheto kmara korogwe karb na chuo cha KAM COLLEGE of HEALTH

    Wamenchagua sa rum ndo ugumu maana m niko mwanza na ada niliyonayo n ya day tu n saidien katka hl
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nan anafahamu hii Kam Collage Of Health Sciences

    Ada zao vp kwa clinical medicine
  9. A

    JamiiForums Tanzania Muwasho ukeni, nini dawa yake?

    Tusaidiane jamani kama kuna tiba za kienyej au hospitali kwa mwenye kufahamu dawa anijuze.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naishia bao moja jamaa hasimami tena

    Nisaidieni jamani yan haisimami tena nini dawa ya hili nitakimbiwa.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Dada yangu anavimba mwili, msaada

    Huwa anatokewa na uvimbe mwilini alafu yanavimba yanakua mekundu kama mtu aliyeumwa na mende yanamuuma sana jamani, msaada.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Uchafu kwenye Kizazi?

    Ni dalili zipi za uchafu wa kwenye kizazi unaweza kuzigundua? Tusaidiane ndugu.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anatoka kitambi nini tiba

    Tumbo linakua kubwa anadai ni unene.
Back
Top Bottom