Recent content by Abushiri bin Sultan

  1. A

    JamiiForums Tanzania DED Lushoto tusaidie tutoke Chama cha Walimu (CWT)

    ....
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Sekondari JM Kikwete ya Tunduma waache kulazimisha Wanafunzi kununua karanga

    Hilo mbona tatizo dogo sana ambalo halikustahili kufika huku. Ungeanzia kwa mkuu wa shule, akishindwa kwa AEK, au mwenyekiti wa bodi ya shule. Ungekuwa umemsaidia mwalimu na wanafunzi pia ila hapo moto lazima uwake.
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    May be ana mimba changa inamsumbua. Au umri mdogo sana bado hajajitambua. Ila Waha ni katika makabila yanayostahimili sana mikiki ya ndoa.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Tanzania kwa sasa mambo haya yapo karibu kote. Unasemaje kuhusu Kagera, Morogoro, Iringa, Ruvuma, Dar es Salaam na Tabora?
Back
Top Bottom