Recent content by Abukic

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    KWANZA: ukiona mkopo umetoka hata uende ngazi husika na hali hii ya sasa haitasaidia kitu.... PILI: kwann hakupata mkopo inawezekana ni makosa ya kibinaadamu kwa wizara au lwa makusudi ili baadhi wenye watu wao wapate
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Basi mjomba taire
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Ukisoma habari nzima ya picha ndo utapata majibu ya huyo dogo....kasoma kwa shida na tena sio shule za kulipia
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] you kill it
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Tatizo anaishi na mama na wala gana jamaaa....hali ya kwao ni mbaya sana.... the best solution for him ni mkopo tu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Mpaka watake lakini
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Hata kama asome HGL lakini daraja la kwanza liheshimiwe
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Wewe uko sawa kiakili? Utafanyaje kazi bila ya kuajiriwa au mtaji?? Hata kama ni misaada kwa walio na kipato cha chini wao hawana haki?? Huyo kapata DIVISION 1.8 hajapata mkopo wakati kuna watu wana division 2 na 3 wamepata mikopo huoni huu ni udhalilishaji wa kielimi???au ushanywishwa sumu na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimemsikitikia sana huyu kijana kwa kukosa mkopo

    Yaani mwanafunzi anapata division one na kasoma katika maisha magumu kweli anakosa mkopo na kupewa waliokuwa hawajafikia hizo alama?? Kwa TANZANIA hii nahisi hatutafika
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa yafanyika Mbezi, wananchi walalamika kutopewa taarifa

    Yuko miguu juu anayaangalia hayo maafa kwa I.T.V
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ni Rais Halali, Uchaguzi ni 2020!

    Uliepost hii habari unakaa ZANZIBAR au unapajua? Hivi kweli hakuna mgogoro? Au umetumwa na CCM? Au ndo chsma chako?.... Kiukweli ZANZIBAR hali sio nzuri na mgogoro bado uko maana viongozi wa CCM wiki ya tatu hii huweka vikao kujadili hali ya ZQNZIBAR tena wastaafu na magwiji wa CCM.. WAZANZIBAR...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Hali ya uchumi ni mbaya

    Basi asilalamike
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Hali ya uchumi ni mbaya

    Kanunue gazeti mia tano 2
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa: Container zote za import kubaki bandarini

    Mm si mtoaji taarifa mm ni msikilizaji na mjadili taarifa
Back
Top Bottom