Recent content by Abuka

  1. Abuka

    LISSU na Msimamo wa CHADEMA, Je ni Faida au Hasara?

    1. Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO, wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala 2. Je, CHADEMA wanaweza kuzuia Uchaguzi? HAPANA hiyo sio kazi yao, mwenye mamlaka ya kutangaza na kuhairisha uchaguzi...
  2. Abuka

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Sawa, Je wameuza Kwa miaka mingapi??? Waseme hapa
  3. Abuka

    Tanzania ina mpango gani kujiunga na mtandao wa BRICS?

    Is the BRICS+ upcoming UN?" 1. UN has the World Bank, BRICS has New Development Bank 2. UN has IMF", BRICS has *CRA 3. UN focuses on Peace, Democracy and Human Rights, BRICS focuses on global financial reforms, corporation, trade and Security among members 4. Both have general assemblies...
  4. Abuka

    Tanzania ina mpango gani kujiunga na mtandao wa BRICS?

    Mtandao wa BRICS unaunganisha nchi za Brazil, Russia, India, China na South Afrika. Nchi za Iran na Saudi Arabia pia zinaweza kutangazwa muda wowote katika kikao kinachoendelea, nchi zingine zilizoomba kujiunga na pamoja na Uganda, Rwanda, Angola n.k Kwa kifupi tu, Mtandao huu ulianza Kwa...
  5. Abuka

    Bima ya Afya Kwa Madereva wa Malori, Je NHIF inakubalika Congo?

    Nimeuliza baada ya kuona kwenye mitandao Dereva wa kitanzania kukataliwa kupewa huduma katika Moja ya hospital nchini Congo Hadi kupeleka umauti wake. Je tunafanyaje kulinda Afya za madereva wetu?
  6. Abuka

    Maneno ya Rais Samia, yamenifanya nitafakari sana hekima yake kuu

    Kwa masaa kadhaa nimetafakari uwezo mkubwa na busara alizonazo Mama yetu, Rais wetu, Mama wa Vitendo, Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania alipokuwa akiwaapisha viongozi mbalimbali leo. Rais Samia ametumia miezi 6 kuwasoma viongozi wasaidizi wake, miezi 6 Amiri Jeshi Mkuu mwenye mamlaka...
  7. Abuka

    Godbless Lema: CHADEMA imepata taarifa za Serikali kutaka kulazimisha kumfunga Mbowe kimkakati

    Hakuna kitu, acha kulisha watu matangopori. Pelekeni hoja mahakamani, haiwezekani mkiqnza kuzidiwa hoja mnajifanya mahakama haiko huru, siku mkishinda kesi mnashangilia. Ooops
  8. Abuka

    Rais Samia ni nyota inayong'aa

    Ukweli haujifichi, ilikuwa ni swala la muda tu Tanzania na Duniani kote kuona nyota kuu inayong’aa kwa Rais wetu kipenzi Mama wa Vitendo Samia Suluhu Hassan. Leo umoja wa Machifu wamedhihirisha hilo katika tukio la kipekee sana huko Bujora Mwanza ambapo kwa pamoja umoja huo wa machifu wamempa...
  9. Abuka

    Rais Samia ni nyota inayong'aa

    Ukweli haujifichi, ilikuwa ni swala la muda tu Tanzania na Duniani kote kuona nyota kuu inayong’aa kwa Rais wetu kipenzi Mama wa Vitendo Samia Suluhu Hassan. Leo umoja wa Machifu wamedhihirisha hilo katika tukio la kipekee sana huko Bujora Mwanza ambapo kwa pamoja umoja huo wa machifu wamempa...
  10. Abuka

    Shaka: Tanzania ni nchi iliyojengwa katika misingi ya demokrasia

    Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na kuingia mfumo wa vyama vingi yalifanyika kwa ridhaa na kwa mujibu wa sheria na kuifanya Tanzania kuwa nchi inayosimamia misingi ya kidemokrasia kinyume na madai...
  11. Abuka

    Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

    Asante sana kwa ufafanuzi mzuri, Kama ndo hivyo basi naamini watanzania wote tunamchanjo ya asili maana mpaka sasa tukipimwa David wote tunayo. Yaani sisi carrier by default
  12. Abuka

    Bajeti ya Kenya ni Tsh. Trilioni 78, Tanzania ni Tsh. Trilioni 34 na Uganda Tsh. Trilioni 30

    Hiyo bajeti wao wanachangia kiasi gani na kiasi gani ni mikopo? Alafu wao wanaweka budget mpaka za mgao wa viongozi. Ufisadi na Mikopo ya kuumiza + dead projects ni mwiba KE
  13. Abuka

    Wizara ya Afya chukueni tahadhari kuhusu COVID-19, Waganda wanateketea

    Sasa kazi ya chanjo ni nini ikiwa haizuii maambukizi?
Back
Top Bottom