Mkuu hizo ni nyumba zisizochukua muda kukamilika na kama utamchukua mkaguzi wa majengo jibu atakalokupa ni kuamuru kubomoa tu haifai kwa matumizi ya binadamu. Nyumba zinajengwa kwa ajili ya biashara na sio kuishi wao.
Mkuu kwanza fahamu hamna bati isiopauka rangi hasa kwa mazingira ya kama dar es salaam kinachotofautiana n muda wa kuchelewa kupauka tu ndo unatofautiana, nina shuhuda nyingi za bati toka alaf na sunshire ya kupauka baada ya muda kwa dar es salaam, unaweza fanya utafiti wa nyumba iliojengwa kwa...
Hicho n sawa na meter 12 kwa 15 ambapo n sawa na 180 square meter, kinaweza kutosha kama utajenga nyumba yenye vyumba vya ukubwa wa kawaida tu sio vile vikubwa sana ila tu hutopata sehem hata ya parking ya gari kwa ukubwa huo, na unatakiwa upangilie vizur position ya kuiweka nyumba ili upate...
Kwa uzoefu wangu mdogo, mwaga zege ila hakikisha tu linakuwa level then zinafata tiles hamna haja ya rough floor.
Mara nyingi rough floor wanaweka watu wanaotaka kuhamia kwa nyumba kabla ya kuwekwa tiles ili kupunguza vumbi la zege.
Kaka sound bar n nzuri kwa matumizi yapi zaid??
Alafu naomba nieleweshe kuhusu watts kwenye izi sound bar na HT, watts ndogo na kubwa zina tofauti gan kwenye ubora.
Wakuu habari zenu, nataraji kufanya finishing kwenye kibanda changu nipo hatua ya skimming na rangi sasa iv, nilikua naitaji kueleweshwa kuhusu hatua za hio stage na material bora kwa ajiri ya skimming na rangi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.