Recent content by abubaker

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hizi kauli za Ulaya maisha magumu zinatafsiriwa vibaya

    Maumivu ya home phobia ni kubwa kuliko 3m tatu za juma kila mwenzi hapo juma aendi kwenye misiba ya ndugu na jama haendi harusini za ndugu anakosa mambo mengi nyumbani.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Huyu alie ombea mtungi wa gesi ukajaa gesi na wakazi wa chamwino walio changia raisi 250k achukue form nani ni msani zaidi

    Kuishi Tanzania ni raha sana vichekesho haviishi loh.
  3. A

    JamiiForums Tanzania "The Seismic Myth of Matthew" ni tukio lilio kosa ushahidi wa kigiolojia.

    Mkuu huo ni upande wa pili wa Yesu kweli alisulubiwa ushahidi upo? Kweli alikufa ushahidi upo kweli alifufuka ushahidi upo? Hizo ni mada pana hatuwezi kuzijadili na hilo la mathayo alio buni, sasa limekosa ushahidi wataalamu wanalihamisha kua la kiroho, mimi sijawahi kusikia tetemeko la aridhi...
Back
Top Bottom