hapana nilipo reboot Niliunga in sha kwenye PC ;but hata hivyo nilifanyiwa hiyo kitu ya ku download zip files na OS nika ituma kwenye SD card then nika tumia ile njia ya ku press volume button up then hapo hapo una minya home b tton then una minya
turn on button then una wipe kwanza then we...
Habari wadau simu yangu samsung gt 53001,imegoma kuwaka inaganda tuutuu, mara ya kwanza ilikuwa inaandika "mtp not support", yani fail zingine hazitaki kufunguka kama camera, file na apps nyingine zinagoma zinaandika hayo maneno nikai re boot ikakaa siku chache tuu ikagoma tena nikaambiwa...
Habari wadau simu yangu Samsung galaxy 53001 inaniandikia "MTP Not SUPPORT, then file nyingine Hazitaki kufunguka nimereboot imegoma Wana niambia Nii flash vp kui root inakuaje, then naomba njia Za ku root kwa simu hii, Pia inagoma ku pull down zile program Za Bluetooth, mobile data na wifi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.