Recent content by abubakar m hassan

  1. abubakar m hassan

    JamiiForums Ubaguzi wa wageni South Africa

    Kwakweli Mimi kama mgeni ambae naishi afrika ya kusini tunapata tabu sana tuna pigwa na kuibiwa Mali zetu Serekali ya Tanzania wakiwa wamenyamaza kimya kama maji ya mtuungini wakati nchii zingine za Africa ikiwemo Malawi , monzambiq, na Nigeria wameonesha action ya kusupport RAIA wake wanaoishi...
  2. abubakar m hassan

    JamiiForums Ujumbe

    Kwakweli serekali ya Tanzania ijaonesha action yoyote ile kwa jambo south Africa wanafanya kupiga wageni huku kweli wanapewa hesma kubwa. Sijui niuwoga au.
Back
Top Bottom