Recent content by Abti

  1. Abti

    Polisi yaendelea na Uchunguzi Mchungaji aliyetekwa Arusha

    Najiuliza swali kwamba kutekwa na kutekwa na watu ambao una shida nao kuna moja ni halali ama kuna moja haijakaa kutekwa? 🤔
  2. Abti

    Israel yaishutumu Iran kuvuka mstari mwekundu

    Mbaya zaidi marekani n taifa selfish sana na mwenye nguvu ya ushawishi sahiv amepiga hatua moja nyuma Trump kama kawaida yake ni maslai ya marekani kwanza hawezi toa silaha nzito kama alivyosema ni ushauri tu ndo upo…Mungu asaidie hii vita wapatane hawa wa iran akili hawana wanaweza tumia ata...
  3. Abti

    Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    Neno la mzee “Pesa haijai ila Pesa huisha” najionea sasa
  4. Abti

    Kuna style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua ni wanawake kumbe vibaka

    Changanyikeni miaka ya nyuma walimalza wizi kwa hyo style ya sheria mkononi vijana walkula sana viberiti wakawa wanaishia msewe golani na makongo juu maana ilfika sehemu raia wamenogewa na kupga watu viberiti ata saa saba usiku ukipga wimbo wataifa watu hao..wezi walijifunza ata akiiba maeneo...
  5. Abti

    Kuna style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua ni wanawake kumbe vibaka

    Hyo sio kauli eti watu wa dar…Endelea kukaa huko huko maana huna uelewa wala experience na wahuni ama kibaka tena mwenye silaha....wewe adui zako wa usiku ni wachawai na nyoka tu shamba huko ila dsm adui wa biandamu ni binadamu…sasa watu wako watatu na wana silaha za jadi washavuta booster akili...
  6. Abti

    Wabunge Wamesahau Kazi za Muhimili Wao, Wamebaki Kusifia Muhimili Mwingine

    Mimi sio mtu wakuchimba sana na siasa ila nashangaaga CAG kuitwa ajieleze bungeni kisa kutoa hati chafu ama utata wakauli wakati wanatakiwa kujua kweny kazi ya CAG kunakujaga hadi makampuni makubwa ya Audit kutoka nje ya nchi sas kuna madudu yaliozidi huwezi kuyaficha ila wabunge wao wanaonaga...
  7. Abti

    Wabunge Wamesahau Kazi za Muhimili Wao, Wamebaki Kusifia Muhimili Mwingine

    Wabunge wa special seat aseee % kubwa n vilaza sinui kwakua wameupata kwa kuteuliwa tu hawajatia pesa na ushndan majimboni wengi wanakaaga kimya wakiongeaga ni ujinga alaf still wanaclaim 5 years ni ndogo kwa special seat wakati aim ni kupata experience then waende majimboni wakapigane huko…sas...
  8. Abti

    DOKEZO Askari Polisi wanachukua Bodaboda kwenye Karandinga Usiku huu (Mailimoja -Pwani) na kuondoka nazo bila maelezo yoyote

    Tengenezeni sare za kijiwe za kijani mtaheshimika hamtokamatwa kamwatwa hovyo…all in all kabla hujaingia kituoni hauna kosa ila ukshaingia una kosa, huyo uliemmention hapo akishafatilia atakuja na kosa lenu kaaeni kwa kutulia maafisa usafirishaji.
  9. Abti

    Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

    Naomba kuuliza nilisikia kukaa na mpenzi miaka miwili na zaidi wanaita ni dhana ya ndoa kisheria ila sio kimaandishi na ushahidi sas hapo si kwenye kugawana mali si wanafidia muda wake. Je ndo anaweza kupewa 1/3 ya mali kwa huo muda waliokaa? Swali la pili kwa jamaa mmekaa miaka mingapi? na...
  10. Abti

    Magic mushrooms inanguvu kubwa sana yakufanya ubongo wako uiingie katika ulimwengu wakufikirika wa miujiza

    Athari zake hazijapshana sana na bangi..ata bangi ina sifa hizo.
  11. Abti

    Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

    Siku hizi amna vita za chini za kina rambo na wavietnam jeshi sio namba jeshi ni teknolojia watu kumi wanaweza control drone 250 ndani ya dkk30 zkifanikiwa kufikia target zote madhara yake ni wanajeshi wako 5M wa ardhini na magobole yao na vike vilipuzi vya mjerumani watakachokfanya kwa miaka 8...
  12. Abti

    PreGE2025 Division zero inatosha kabisa kuelewa ujumbe wa Askofu Gwajima kuhusu utekaji

    Bwana Josef Mbilinyi alisemaga mpambe anasifia mpka boss anakasirika ndo hii sasa watamuuzi wamezidsha sasa😂😂😂
  13. Abti

    Kuna baadhi ya Polisi wana njaa sana

    Baada ya miaka kadhaa ya malalamiko kila mtu atafata sheria bila shuruti..tutaanza kujiita tuko civilized kumbe ni sheria zimeswitch watu
Back
Top Bottom