😄😄yaani anamkosoa mwenzake alafu hajajitathimini na yeye binafsi😄... that's why tunasema first you need to judge yourself then try to correct your neighbor.
ila watu bado wanazidi kurupoti Hadi Leo watu wameingilia Kati kozi...kwahyo kama ulipgiwa hukupatikana au hukupokea hawarudii tena..japo kupiga simu ni kweli walipiga na bado wanapiga...
Cha muhim tu kuwa hakuna mtu anaetakiwa kukata tamaa as long kila mtu yupo katika kutengeneza mafanikio basi hatuna budi kupambana huku na huku na Mungu mwema atatufikisha pale tunapostahil kufika...tuzingatie kujituma, kukimbilia Fursa na kuishi na watu vzuri lakini Cha zaidi na zaidi ni...
Alipigiwa na watu wa magereza..na vilevile professional yake Kuna mdada namjua alichaguliwa lakini kumbe hajaenda kuripoti kiwila kwahyo Kati ya nafasi zilizokuwa za hyo professional bht nzuri nilikuwa nawafaham kwahyo akasema yule mdada hajaripoti...baadae akapigiwa reserve huyo rafiki yangu...
Amefurahi Sana rafik yangu maana jamaa alikuwa street kwa miaka 3 na nusu toka amalize chuo lakini Mungu mwema Kuna wakati sahihi ukifika juu yako hakuna wa kulipinga
Kuna jamaa yangu mmoja kainipigia simu Jana akaniambia kuwa amepigiwa simu ghafla na akaambiwa Jumatano afike dodoma...nkamwambia hongera sana lakini sikuongea nae meng Mana nilikuwa busy kdg alivyonipigia ila nahisi wanapiga simu kwa watu hao 200 waliopelea na wengne ndo hvyo sehem nyingne...
Utiifu ndo Jambo la muhim kuliko chochote kile katka maisha ...maana Kuna mfano wa jamaa mmoja kwa street alifanyiwa connection kuingia TPDF kufika kule akasadikika kafanya yake na manzi na alikuwa akitumia vilevi kwa Sana...mda huo tayari ashaanza kuvaa bakabaka na belt ipo kiunoni baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.