Una ufahamu mdogo sana wa masuala ya gesi ila ni kwa vile unaowaelekeza hawana kabisa , jifunze kwanza uongeze maarifa Google haitoshi pekee mtafute expert wake
WanaJF,
Uzi nauandika nikiwa na hofu ya misleading kubwa ktk suala hili la Katiba Mpya, ni kweli Katiba Mpya ni muhimu sana kwa kuwa ya sasa ina matundu makubwa sana lakini nachosikitika kuchukuilwa kwa agenda hii kama mradi wa kisiasa kwa vyama vya upinzani na waliopoteza mvuto wa kisiasa kwa...
Uzi una content Binafsi hoja yako ni kweli pia kuna kitu cha kujifunza ni kweli ukitaka kujenga uchumi esp kwa nchi za dunia 3 vita ni kubwa kutoka kwa mabeberu ila nafikiri kuna jambo la kushauri hapa kwanza mi sioni sababu ktk kujenga nchi kiuchumi kuendelea kuvaa koti la chama coz hivi vyama...
Muhimu hapa kuzingatia kipi kilianza kutokea kati ya waraka na clip bila shaka itakuwa ni waraka, kama ni waraka basi wazee hawakupanga kuzungumza yale waliyozungumza ila baada ya kuguswa na waraka ulikuja baada ya kuzungumzwa na Musiba so tuwekane sawa hapa mkuu tusipotoshe umma
Maisha ni kutumia fursa hongera mh. Bashe kwa kupewa dhamana ya unaibu waziri ila imempasa kutumia dakika 15 tu za kuongea na waandishi wa habari na kuupata unaibu yaani hivi ndugu.
Huyu jamaa kwa muda mrefu alikuwa ktk kundi la wabunge wanaongea nukta muhimu michango yake bungeni ilikuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.