ingekuwa post inawahusu wale jamaa wa talebani watu wangeposti udini humu maana maslahi ya mwanamke mnayapinga yakisimamiwa kwa misingi ya mafunzo ya dini fulani lakin ukweli utazidi kuwalazimisha kiutendaji mfanane nao japo kikauli mnatupiana shutmah!
Hoja yako dhaifu mwamba, na hayo ni maneno ya mkosaji jibu hoja acha kukimbilia vichakani ili kutafuta usawa , yule mwalimu wa madrasa, na huko ni padri hivi uwiano hapo unapatikanaje, kule maelfu ya kesi za unajis watoto huku mamoja na bado kuna yasiyochunguzwa, mimi nimewahi kusema Waislamu...
ukisema bora waachane ataacha hadi ndoa ngapi mkuu , maisha yalishabadilika sana siku izi karibia jamii nzima imejaa uzinzi hata huko unapopadhania akimbilie huenda ni pabaya kuliko atakapotoka ni kwa sababu tu unapaona ukiwa nyuma ya pazia.. mimi nashaur asonge mbele madamu hajamshika waziWaz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.