Recent content by Abou Saydou

  1. Abou Saydou

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    LSSE ni scale wanalipwa wakuu wa Taasisi eg Wakurugenzi wa Idara, Taasisi, Halmashauri, wakuu wa Divisheni za Halmashauri n.k
  2. Abou Saydou

    Nahitaji eneo Kibaha ndani ndani huko, nje ya mji kabisa

    🤣🤣🤣🤣🤣 Mlandizi nishanunua eka 3 kwa one million
  3. Abou Saydou

    Plot4Sale Kiwanja Kitunda kinauzwa 3m tu

    Hakuna kinachoshindikana kwenye hii nchi..... Lakini watu wa Dar wapuuzi sana kiwanja 20 kwa 20 ndio mtindo wao halafu Bei mlima
  4. Abou Saydou

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Ndungu Pana kila kitu Ila yote kwa yote kuishi mikoani inatka moyo n ujasri wa ajabu
  5. Abou Saydou

    Wapi Bora? Kuacha kazi Serikalini mshahara 900k na kuingia Private mshahara 3Mil Contract 4 years

    Kisheria inaruhusiwa....kiuhalisia wa watu weusi kukuruhusu nauona ugumu. Lakini wanatoa yupo mshkaji namjua amekula mchongo kwengine na anabarua ya Tamisemi kabisa likizo bila malipo
  6. Abou Saydou

    Wapi Bora? Kuacha kazi Serikalini mshahara 900k na kuingia Private mshahara 3Mil Contract 4 years

    Anaruhusiwa vizuri tu... Iwapo mtumishi wa Serikali amepata mchongo sehemu nyengine anaruhusiwa kwenda kwa kujaza Fomu ya likizo na wanatoa ruhusa ya miaka minne then unarenew but kwa roho mbaya za maafisa utumishi kukuruhusu n ngumu
  7. Abou Saydou

    Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Mimi ni Capitalist Na Capitalist anakaa penye population so Its Dar, Arusha city (sio wilayani) Mwanza Jiji na Mbeya Jiji........ Huko kwengn nitakwenda kununua mazao.
  8. Abou Saydou

    Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Kagera yote mbovu iwe karagwe, misenyi, biharamulo au Murusagamba Ngara
  9. Abou Saydou

    Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Hapafai wanapaweza wenyewe wenyeji..... kwa kifupi tu kagera yote na chato nisingeenda haiwezekani nitoke Dar to kagera........ kwanza kusafri zaidi ya masaa 8 kwenye bus ni kipengele unakaa kila mtindo
  10. Abou Saydou

    Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Kwmba umeitaja Biharamulo then ukaiacha Bunda, Musoma, Magu na Geita? Hakuna sehemu za hovyo kanda ya ziwa kam biharamulo
  11. Abou Saydou

    Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Mimi niliomba town kabsa nikajikuta nimeplkwa KISHAPU....nikaenda nikaripoti nilivyopewa 14 days sikurudi
  12. Abou Saydou

    Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Ila tunafanya kazi maporini sana. Mtu wa Dar anapelekwa sijui nhanangwa Geita huko😀😀😀
Back
Top Bottom