Recent content by abou de don

  1. A

    Naombeni ushauri jamani

    Kuna msichana nampenda sana na nimekua nae takriban miaka 2 sasa wakati naanza nae mahusiano alikua amemaliza kidato cha 4 lakini alinikubalia kwa sharti Moja kwamba hatoshiriki tendo LA ndoa na Mimi mpaka atakapomaliza kidato cha 6 kwakua nilikua nampenda nilikubali kiukweli tulipendana sana...
  2. A

    Magufuli akagua daraja la Kigamboni

    Kiukweli magufuli ni mzalendo anaipenda nchi take p Magufuli ni jembe yani huyu kama angepata nafasi ya kugombea uraisi 2015 Nina uhakika angeshinda kwa kura nyingi sana kwani amekua kiongozi bora na mwenye mfano wa kuigwa na viongozi wengine. Big up magufuli
Back
Top Bottom