Mm nakerwa sana na hii tabia lkn japo siwez kuiepuka sababu naweza kusema mm nj mtu mwenye aibu sana na hasa kitu changu nitahiyar ninyamaze na nikisamehe,siwez kusema nahonga maana kuhonga nikutoka kitu mojakwamoja kwa nia ya kumpa mtu(mwanaume) lkn utakuta uko na mtu mnakwenda sehemu na...
Kiukwel si kwel dada unajuwa nn mtu unapokuwa ktk mapenzi ya dhati na uko tayar kujenga maisha na mwenza wako unakuwa tayar na unakabili jambo hilo,maana hawa wanaume zetu wasasa wengi tusipoangalia hakuna future mm naona ni vizur kuwa muwazi ujuwe anamsimamo gani na ww na sidhan kama unakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.