Recent content by Ability JM

  1. A

    Sarakasi za Biteko na ACACIA juu ya uchafuzi wa mazingira na utiririshaji wa maji ya sumu

    Wiki iliyopita nilipandisha uzi hapa nikimlaumu waziri wa madini,Mh Doto Biteko,kwa kuchelewa kuchukuwa hatua dhidi ya mgodi wa North Mara gold mine(ACACIA),mgodi huu unajishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya Dhahabu huko Nyamongo. Moja Kati ya Migodi yenye DHARAU kwa serikali,mgodi...
  2. A

    U-wapi Meja Jenerali Msitaafu Vicent Mritaba,aliyeshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana siku nne tu baada ya Tundu Lissu kushambuliwa?

    Siku nne tu baada ya Mh Tundulisu (mb) KUSHAMBULIWA kwa RISASI zaidi ya Arobaini (40),MSITAAFU huyu ilisemekana kuwa nae alishambuliwa na RISASI na Watu wanaosadikika kuwa hawajulikani, Mkuu huyu MSITAAFU alilazwa katka hospitali ya lugalo ya kijeshi na baadae Mh Rais alimjulia Hali na kumtakia...
  3. A

    Doto Mashaka Biteko, waziri msahaulifu

    Ni waziri mwenye uwezo wa kujenga hoja lakini za uongo,Mara nyingi nimekuwa mfuatiliaji wa mienendo ya waziri huyu,amekuwa akihaidi Sana bila utekelezaji,amekuwa msemaji Sana bila utekelezaji,amekuwa akihaidi bila utekelezaji Ninayasema hayo bila uoga na bila hiyana,waziri huyu wa madini...
  4. A

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Nimetafakari Sana juu ya uongozi wa Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli na mstakabari wa Taifa letu,imenichukuwa takribani miaka mitatu (3). Nimejiuliza Sana juu ya uongozi wa Magufuli na maendeleo ya jamii kwa ujumla,baada ya tafakari hiyo nami nimeamua rasmi kulitetea Taifa langu dhidi ya...
  5. A

    WAONGO HAWAWEZI KUSEMA UKWELI DAIMA

    Uongo Ni tabia,uongo Ni mfumo,lakin uongo Ni Haiba hasa ya watu wasiopenda ukweli. Tarehe 05 March 2019,waziri wa madini Mh Dotto Meshack Bitteko,alihutubia mkutano wa wananchi ktk viwanja vya Nyamongo secondary Mh Bitteko aliambatana na viongozi mbalimbali akiwemo mbunge wa Jimbo la Tarime...
Back
Top Bottom