Unachosema sio kweli hata kidogo.
Kwa mujibu wa Kifungu cha 4 (1) cha Sheria ya Huduma ya Habari, 2016, Rais anatakiwa kumteua mtu kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali iwapo ana sifa zifuatazo;
(a) Ana uadilifu wa kiwango cha juu;
(b) Ana elimu na uweledi katika moja wapo ya maeneo ya taaluma...
Mkuu ninakuelewa, it is possible akapewa hiyo post lakini she is not fit for that post, Paschal Mayalla deserves more to hold the post of Chief Government Spokesperson.
Mapungufu gani? Mbona hautaji hayo mapungufu? The failure to mention expressly such mapungufu permits me to draw adverse inference against the veracity of your allegation.
Kwa kuwa Dkt. Hassan Abbas ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni ambayo ni nafasi yenye majukumu mengi na mazito ya kiutawala huku akiendelea kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, ni rai yangu kuwa Rais amteue Msemaji Mkuu wa Serikali mpya ili Dkt. Abbas apate...
Please can you help us to make legal analysis as to whether the section 7 (1) and (2) of national election act involves continuous breach of the provisions of constitution involved in the constitutional case of Wangwe as to fall within the exception No. 1 revealed by you in your article.
I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.