Recent content by Abelaurent

  1. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    Utupu ni mahali pasipo na kitu chochote,mfano ,anga,alafu ondoa hewa/gesi zote,odoa mwanga ,ondoa viumbe patikoz zote,ondoa maji maji /vapour. Hapo ndo utakuwa na utupu,(an emptness) na darkness (giza ) Hebu fikiri ,kabla ya jua kuwaka na kutokwepo kwa mfumo unaoitwa solar system ,palikuwaje...
  2. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    ELEMENTS sio kwamba zimesafiri huwa zipo pote ulimwenguni,pia husafiri kwa njia ya radiation and physical movement through evolution in the solar system ,eg vimondo etz
  3. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    Giza halina chanzo ndo asili yenyewe ya ulimwengu,mwanga ndo mtoto wa giza,giza ni mama,utupu hauna asili pia because an emptness and dark universe was never created has no formula of creation, Consider ,the empty space must be there whatever something is there or not
  4. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    Its not only about our understanding, question on your self, why are you remembering the things that your not there the time were existing, Its only about ATOMIC MEMORY,and currently considered as technology and creativity .Tsh
  5. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    Asante
  6. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    Atomic memory,DNA ,ELEMENTS NI USHAHIDI TOSHA
  7. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Duniani sisi ni wahamiaji kutoka Mercury

    Habarini wana wa JF, Natumaini mko salama na afya njema. Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawako katika hali nzuri kiafya, nawaombea pumziko na nafuu katika miili yenu. Ningependa uzi huu usomwe na “The JF Great Thinkers” pamoja na wadau wengine wote mnaopenda mijadala ya kina ya...
  8. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Kwanini mkuu ,nitukane tu kama vipi nipate
  9. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Acha mchezo hio inaumaa ila sasa , mkuu mimi expert hakuna sketi inatingisha seli za ubongo wangu
  10. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Acha mchezo hio inaumaa ila sasa , mkuu mimi expert hakuna sketi inatingisha seli za ubongo wangu Acha kuhukumu mkuu hayo mambo ni kama mvua za kiangazi hayaelewekagi kwa vijana wadogo ,unanaswa chap na kuwa darasa la wengine kama hivi
  11. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Acha mchezo hio inaumaa ,ila sasa , mkuu mimi expert hakuna sketi inatingisha seli za ubongo wangu
  12. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Papuchi babu huelewi nini hapo
  13. Abelaurent

    JamiiForums Tanzania Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

    Mkuu toa neno
Back
Top Bottom