Ninachokifaham hapa Sura ya Mtoto inatengenezwa Wakati wa Mama Mjamzito kulea Mimba Mama anapitia nyakati Gani ikiwa utamuacha peke Yake ukamtenga angalia atakaekuwa nae karibu akimfariji na kumtia moyo Hapa huenda Rafiki yako au ndugu Yako ambae atakua anaongea nae vizuri hapo ndipo sura ya...
Uandishi wako hauna shida kabisa tunachokiangalia ni hitaji lako kama limeeleweka tu haya mengine ya kawaida sana Uamuzi uliofanya ni sahihi kumpeleka Hospitali Watu tunapaswa tuachane na Iman kubwa za kujaribishia Dawa kwa Watoto et ngoja nijaribishie na hii dawa Muda unazidi kwenda hatimae...
Hakika hili ni Tatizo kwa Watoto wa umri chini ya miezi 3 niko na mapacha Wawili wa kiume wanasumbua sana But nimekubali Mawazo ya humu watu wako well sana hii ya chumvi na sukari kias ni special sana maana ni Rahisi kwa wote na inasaidia chemsha maji hakikisha yamechemka tia kijiko 🥄🥄 cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.