Recent content by ABEL J

  1. A

    Sababu zilizomwondoa Rais Goodluck ndizo zitaiondoa CCM

    the politics of nigeria is quite different na za hapa bongo wenye ndoto yakuondoka kwa ccm waendelee tu kuota hata mchana oteni ilaccm kutoka ni tabu na hatuwezi kuwaingiza madalali marakani HAKUNAGAAAAAAAAA,,,,......
  2. A

    Tundu Lissu atinga Bungeni na kuamsha ari ya Bunge

    upinzani saa zingine wanakosa hoja ila waongee tu waonekane na wanachi na waonekana wanapinga serikali ambao ni kigezo kwa vyama vya upinzani katika bara la AFRICA kushika dola kwa kupinga serikali jambo ambalo ni ujinga na uvivu wa mawazo wa waafrica
  3. A

    Arusha na CHADEMA yao, Lema na wahuni wake

    Mm mwenywe ni mkazi na muhumini wa mabadiliko ya mkoa na jiji letu la arusha... Lema hatutoshi tena ....anafuruga amani na kufanya utalii na wafanyabiashara kushindwa kufanya kazi zao .....sio mwanamapinduzi wa maendeleo ya kweli amekuwa mwanamapinduzi wa vyama ....hana fikra endelevu watakayo...
  4. A

    Barua hii ya Kijasusi kutoka Uingereza kuhusu uchunguzi wa mtoto wa mgombea Urais Mtarajiwa ....

    sasavipi barua yenyewe haina muhuri unaodhibitisha imetoka kwa polisi wa london hata mm naweza tunga kama hyo......au mnataka nifanye hvyo ILA PONGEZI KWA KUTAMBUA MGOMBEA WA CCM NI ENL T2015
  5. A

    Kwame Nkrumah Jr Kuja kwa ajili ya uzinduzi wa ACT Tanzania

    wewe watu wakikataa UTUMWA na udikteta ni wasaliti nani kakufundisha hvyo elimu ya tanzania haiko hvyo....... ila mimi si mwa ACT wala CHADEMA ila cjapenda udikteta wa taasisi ya mbowe na wenzake.
  6. A

    Kwame Nkrumah Jr Kuja kwa ajili ya uzinduzi wa ACT Tanzania

    hivi mgeni miongoni mwa wageni rasmi kama LIPUMBA atakuwepo itajenga taswira gani??? na je kauli ya ZITTO hapo mwanzo ya kuwa lipumba ni mlezi wake itatafithiriwa vipi na wadau wa siasa......???
  7. A

    SIRI NZITO ya Miswada ya Dharura itakayopelekwa Bungeni Dodoma Alhamis na Ijumaa

    kweli hilo nalo neno:shocked::shocked:
  8. A

    SIRI NZITO ya Miswada ya Dharura itakayopelekwa Bungeni Dodoma Alhamis na Ijumaa

    unadhani tutaweza badilisha kitu mkuu
Back
Top Bottom