Recent content by Abeidabubakary

  1. A

    Nje ya box

    Mh!kweli.
  2. A

    Will you accept me?

    Nimesoma nakuelewa nimefurahishwa hishwa kwa kwakuwa hakuna vigezo wala masharti hapo utachagua mwenyewe.
  3. A

    Baada ya miaka 3-5 ya ndoa

    Nimewapata hapo juu kwa maana hiyo ili mapenzi yasichuje pande zote haitakiwi kuoneana aibu eti kisa ndoa kama nikubiliguana na iwe kubiliguana kwelikweli, SHIDA GANI! wewe unampa respect akitoka nje sarakasi mtindo mmoja.
  4. A

    My husband tells me I will be a bad mother and insults me, what should I do?

    Oh!very sorry my sister for what happened to you but try to check backwards from the begining of your love and now what causes cause the frinction then you will get the result. REMEMBER no body who's perfect.
  5. A

    Amtega baba mzazi.....

    Though you We'll be given an advice to stop doing but nothing else you gonna take an action,try to make your own decision.
  6. A

    Bank ya NBC tawi la Chang'ombe DUCE inaungua moto!

    Aah!haya bwana tusubiri kusikia chanzo cha moto.
  7. A

    Nahitaji mwenza - mume

    Sio kweli kwamba ukiachika unaweza kujiburudisha peke yako nani kasema? (wewe) kheri yake aliye jitoa nakutaka mwenza kuliko ajirushae kama tiyara.
  8. A

    Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

    Miaka7 nimingi jitahidi kumweleza mama kijamaa nakisha mama ataongea na baba then mambo yatakwenda poaa!
  9. A

    Nahitaji mwenza - mume

    Mmh!!umetoa umri ila nikama nasikiaga kuwa mapenzi hayana umri vile!maana wengine huji2ngua kikubwa kwake nikupenda2 mengineyo baadae.
  10. A

    Ninaumia sana jamani naombeni msaada wenu wa mawazo

    Inauma,sawa lakini potezea2 kama ulie nae hajakuridhisha mpaka ikupelekee kuendelea kumpenda asiye pendeka bac piga chini kisha kaa kivyako na kitabu2 kwani nini na shida gani?!!!
  11. A

    Ninaumia sana jamani naombeni msaada wenu wa mawazo

    Inauma,sawa lakini potezea2 kama ulie nae hajakuridhisha mpaka ikupelekee kuendelea kumpenda asiye pendeka bac piga chini kisha kaa kivyako na kitabu2 kwani nini na shida gani?!!!
  12. A

    Mume hanifikishi kisawasawa

    try 2speak out 2ur husband and he may gets a lesson.
  13. A

    Ndugu wa mume wanaichonganisha ndoa yangu

    Kama alivyo kueleza mumeo jaribu kupiga nao story,unapo jitenga itaonyesha kuwa unamajivuno nakujiona upo juu na kuwadharau wao kwa kuwa niwakijijini.
  14. A

    Nina miaka 21 na sijafanya mapenzi

    nivyema ukikaa hivyo hivyo na ucthubu2 kujiingiza kwenye huu ulimwengu wa warembo mpaka hapo utakapo taka kuoa(hakuna tatizo lakukusumbua juu ya hilo)
Back
Top Bottom