Recent content by abduutali

  1. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Sawa naacha kudanganya watu mkuu
  2. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Hiii haijaenda mzeee ikienda notification ni moja tu thanks for your application, hata mimi nlikuwa na face tatizo kama lako
  3. abduutali

    JamiiForums Tanzania Mapungufu kwenye. Ufuatiliaji wa Miradi iliyotekekezwa kwa Utaratibu wa Force account katika Sekta ya Elimu

    Izo kazi hazifanywa hata na wahandisi.....utakuta hata fundi mwenye uzoefu wanampa kazi, lazima ilipuliwe
  4. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Yaan huelewi sehemu unayoishi kweli?
  5. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Andika unapoishi...mfano ubungo, mwenge n.k
  6. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Hapana tatizo lilikuwa ni ukiupload inaload then inarud there was error in ipload your documents, please try again later, Uki try again....inaleta it seems like you have been applied call 113 blah blah
  7. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Tatizo hili sinakutana nalo...kwakuwa haikuletei notification yoyote kusolve ni ngumu chakufanya endeleea kukisia solution, na uendelee kujaribu labda ukafanikiwa inshallah
  8. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Tafuta website yoyote ambayo inafanya image resizer then uta uncheck maintain aspect ratio alaf tupia izo namba, kama iyo web ina tumia pixel weka 413x531 otherwise weka 35x45mm au 3.5x4.5cm angalia web inachotaka
  9. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Kwa wale wote wenye matatizo kama haya, mm nmefanikiwa kusolve kwa njia moja tu sijui kama na nyie itawafaa ila ni vizuri kujaribu, Tatizo linaweza kuwa kwenye passport size photo hakikisha zote zipo kwenye standard size kwa Tanzania ni 35x45mm(413x531px) Mm baada ya kuzibadili zote maana...
  10. abduutali

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Vip ulifanikiwa
  11. abduutali

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Note 9s imeizid kila kitu iyo m3 ndo maana hata bei ni 129 vs 200+...chukua 9s ina procesoer sd720 tofaut na sd 662 performance different n kubwa sanaa Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
  12. abduutali

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kwa hao hao gearbest wame i list ivyo...si sijajua labda wamekosea Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
  13. abduutali

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kwa anayetaka poco m3 arnde gearbest ipo kwa 129 ile ya 64gb....pia kumbukeni ii simu licha ya kuwa na gorila glas 3 sim ina Amoled so lazima wa compromise sehem ili waweke kitu kizur sehem nyingine... Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
  14. abduutali

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Basi jarib kufanya research....band za 4gb za halotel then ujue band za 4g zinazokuwa supported na simu...jarib ingia play store download app inaitwa 4g only then switch to 4g only uone nn kitatokea Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
  15. abduutali

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Halotel maeneoeng 4g haishiki au ikishika kwa kiasi kidogo sana..kwa vile kiui haina option ya 4g only so inajiswitch to H unaweza ku download application ambayo itailazimisha simu kushika 4g kwa halotel lakin trus me minala inaweza isisome kabisa...sabab eneo ulipo halina 4g....labda kama upo...
Back
Top Bottom