Recent content by Abduly Mfaume

  1. Abduly Mfaume

    Free to Air Channel

    Nimenunua 68,000/= bila dish
  2. Abduly Mfaume

    Free to Air Channel

    Nimekupata mkuu
  3. Abduly Mfaume

    Free to Air Channel

    Ahsante mdau
  4. Abduly Mfaume

    Free to Air Channel

    Wakuu habari zenu, Naombeni msaada nimenunua Decoder ya FTA(free to air) nipo Ifakara moro. Nimetumia kusearch kwa Dish la Azam(ambalo pia natumia na Startime kwenye Same direction) lakini decoder kwa Tv za Ndani hapa Tz ni Tv Imaan,New Africa Tv swahili, Maarifa Tv, WRM na Africa Tv swahili ndo...
  5. Abduly Mfaume

    Tatizo la king'amuzi cha startimes dish

    Dripboy Yaan hata ukibonyeza batani za king'amuzi hazifanyi kazi, ila ngoja nijaribu hlo
  6. Abduly Mfaume

    Tatizo la king'amuzi cha startimes dish

    Naomba msaada wa JF nina king'amuzi cha Startimes nilitaka fanya malipo nikakizima na kuchomoa kadi, Nimelipia na kurudisha kadi na kuwasha kinaandika "Loading" alafu bango la Tangazo lao kisha hakifanyi chochote hata ukibonyeza remote akikubali kudisplay chochote. MWENYE KUJUA NAOMBA USHAURI...
  7. Abduly Mfaume

    Huwezi amini nimepigiwa mke wangu kweupe

    Mmmmmhhhhh Jamaa umemuacha kakimbia na mkeo umemuacha anajipumzikia daaah, ndugu subiri masiha arud unaweza paa nae tena kwa Imani yako ya kijinga na kidhaifu..... Hapo hata mkeo ukimkata ckio na ukatuhadithi kwny Muendelezo wa hadithi yako tungekucfu
Back
Top Bottom