Recent content by Abdulrahman Lwambano

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    jamani naomba mnisaidie kunitajia shule za private ambazo zina advance bweni mchepuo ARTS(HKL) ada iwe ya kawaida2 mkoa wowote.......MATOKEO YANGU NI;PGA 1.9 lisita, civ=d,hist=b,geo=d,kisw=c,eng=c,lit in engl=c, e.d.k=c......pia kwa matokeo haya geography nina d, je naweza kwenda HGK?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Haba na haba hujaza kibaba au kibubu?

    Hata me ninavyojua na nilivyosoma kwamba wahenga walinena"haba na haba hujaza kibaba" ,hayo mengine ya uzushi tu na pia ni njia ya kuidumaza lugha ya kiswahili na misamiati yake
  3. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za kuendesha Serikali ya Muungano

    Maswal hayajbik harakaharaka nashndwa nianzie wap?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kuomba nafasi za vyuo vya Ualimu mwaka 2014

    Jaman naomben niulze maana kunawatu wananisumbua kuhusiana na hili: Et types of government ni zp?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kuomba nafasi za vyuo vya Ualimu mwaka 2014

    Jaman naomba mniambie vigezo vya mtu aliye lisit kwa matokeo mapya,akitaka kusomea ualim wa primary?
Back
Top Bottom