Recent content by Abdull123

  1. A

    NSSF na interview hadi kitengo

    Wadau Kwema? NSSF kwa sasa kama huna anaekufaham, basi inakula Kwako, Jamaangu Alipigiwa Simu na Kupewa maelekezo flani kabla ya Interview na sasa Yupo Ofisini / KITENGO amelamba Shavu. Made in Tanzania. No One Know YOU, then zama Mfukoni Kununua AJIRA.
  2. A

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Acha Kukariri Kijana, hakuna Kitu kama icho, tembelea Ofisini halaf Angalia vitambulisho kama majina mengi ni ya Kiislam, Angalia CV yako na elimu yako, unategemea una GPA ya 1.9 halaf ukabidhiwe Uhasibu?
Back
Top Bottom