kwangu ni kiunguklia,kichefuchefu lkn hakuna kutapika,kizunguzungu kikali mda mwengine najiona km naanguka,uchomvi hata km sijafanya kazi siumwi tumbo kabisa
Husika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu kinanishangaza zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.