Ulimwengu wa sasa umegubikwa na changamoto nyingi zinazohusu maendeleo na demokrasia. Utawala bora ni mojawapo wa masuala yanayotiliwa mkazo na kusisitizwa na jamii mbalimbali duniani. Dhana hii muhimu inahusuiana na namna ambavyo taasisi mbalimbali, ikiwemo na serikali zinavyoweza kuhusika...
hapana, swap ni lugha inayojitegemea, lakini interpreter yake imetengezwa kwa javascript, kama ilivyo python kuwa ni lugha inayojitegemea lakini interpreter yake imeandikwa kwa C.
Ijapokua kwa sasa swap ni lugha changa, na programing yake inafanika kwa CLI interface pekee.
Swahili programming language (swap) ni lugha ya kuprogram kwa kutumia maneno ya Kiswahili, ni lugha ya kwanza kabisa kuruhusu mtu kuweza kuandika kodi kwa kutumia maneno ya kiswahili (swahili lexical terms), lugha hii ilizinduliwa rasmi tar 2020-05-24 , lengo kuu ikiwa ni kusaidia kujifunza...
habari, naomba nilijibu swali hili kama ifuatavyo,
si kweli kwamba lugha zote za kuprogram zinatumia kiengerza kuprogramu, 1/3 kati ya zaidi ya lugha 2400+ za kuprogramu hazitumii kiengereza, na ongelea zaidi ya lugha 700+ ambazo hazitumii kiengereza katika kuprogramu, mfano wa lugha hizi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.