Baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa
𝗣𝗨𝗡𝗬𝗘𝗧𝗢;
Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama kwa uume, Hivyo baada ya muda fulani mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na kushindwa kuruhusu...
Hii Ni kwasababu Uhifadhi wa vyakula kwenye jokofu hasa kwa muda mrefu unaweza kusababisha baadhi ya bakteria kuzaliana na kusababisha kupata madhara ya kiafya kama vile kuhara na magonjwa mengine.
Chakula pia huweza kupoteza virutubisho vyake na husababisha mazalia ya bakteria kwenye chakula...
𝗛𝗼𝗿𝗺𝗼𝗻𝗲 𝘆𝗮 𝗧𝗘𝗦𝗧𝗢𝗦𝗧𝗘𝗥𝗢𝗡𝗘
Kichocheo hiki ndio silaha ya mwanaume kwani ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe na sifa zote za kiume na ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe imara katika tendo la ndoa na tezi dume pia.
Hii ni homoni muhimu katika afya ya mwanaume ambayo husaidia kurekebisha...
HuweZi kuona matokeo kwa haraka kutokana na asili ya mwili wako binafsi lakini Kiukweli Ni Jambo unaloweza kulichukulia poa Ila kwa kiwango Fulani Lina positive impact katika miili yetu hasa maumbile yetu .. na Ni vizuri hata muda wa haja ndogo usikojoe moja kwa moja Kama mbuzi Ila unazuia hata...
Kiukweli Ni Jambo unaloweza kulichukulia poa Ila kwa kiwango Fulani Lina positive impact katika miili yetu hasa maumbile yetu .. na Ni vizuri hata muda wa haja ndogo usikojoe moja kwa moja Kama mbuzi Ila unazuia hata Mara mbili tatu [emoji817]
FAIDA YA KEGEL NA JINSI,YA KUFANYA MAZOEZI YA KEGEL (Wanaume)
Kufanya mazoezi ya Kegel ni muhimu kwa kila mwanaume, nasema hivi kwa sababu ni zoezi ambalo kila aliyelifanya mara kwa mara ndani ya wiki tatu basi ameweza kuwa na utofauti mkubwa tofauti na mwanzo.
Nasisitiza kuendelea kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.