binafsi huwa nafikiri kuwa katika matatizo yote duniani theluthi mbili tunayo afrika.tatizo la usafir n sehem ya theluthi hiyo mbili.mataifa ya magharibi na mashariki ya kati huwa na theluthi moja km;mabadiliko ya hali ya hewa na kadha wa kadha. Lakini hali n tofaut kumbe had wachina...
binafsi midahalo hiyo huandaliwa na watu wenye upeo na utashi katika kuongea na kufanya maamuzi.wanasiasa wengi wa kiafrika wana nguvu ya kuongea na si kufanya IMPLEMENTATION wa wanayoyasema Nape ni mmoja wa viongoz hao, hii inafanya kigugumizi kwa wanaonda mdahalo,kimtazamo labda angeitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.