Habari za jioni members wenzangu
Kama ilivyo ada kwa maisha yetu ya kila siku inofahamu hazikosekani katika dunia hii yenye kila maajabu
Na moja kati ya hizo sintofahamu ni Hili la kutupiana mipira kwenye Hili la ajali ya treni yetu iliyotokea juzi mkoani kigoma
Lakini kwa masikitiko makubwa...
Wakirustu mpate lakujifunza wenzenu hawajaja hapa kwenye uzi na kebehi na matusi ambayo ni vice versa huu ungekuwa uzi unaohusu Uislamu mubadilike mujiunze kuheshimu dini za wenzenu
Note; yesu alifung siku 40 usiku na mchana???! [emoji107]sound fishy here
Hallow guyz,
Ebhana mimi ni kijana mjasiramali lakini katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana a video moja ya jamaa moja akiwa ana refine mawese kwenda mafuta haya yakina korie bila machine..
Sasa wadau kwa kipindi ile nilichoona yule bwana akifanya mandigo yake sikuwa intrested na huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.