Usijutie Maamuzi yako ya kumsamehe ila pia nakuomba usimuumize na wewe.
Kama umeamua kusamehe basi amua kusahau pia. Kila Jambo ni MAAMUZI tu lakini wewe bado HUJAAMUA KUSAHAU.
FANYA MAZOEZI MARA KWA MARA HASA MAGUMU KAMA VILE SQUATS + JOGGING UKIJITAJI SAPOTI SEMA ULIPO TUTAKIMBIA PAMOJA NDANI...
Watu werevu na waliofanikiwa zaidi ninaowajua wanatafuta jumuiya kwa bidii.
Wanaajiri makocha, wanajiunga na vikundi vya mitandao rika, huchukua likizo na marafiki na wafanyakazi wenzao, na kujenga jumuiya yao kikamilifu.
Ninasema hivi kama mtu ambaye kijamii amefanya machache kati ya haya...
Kigezo kipi kimetumika kutoa Taarifa ifuatayo.??
"AMUUA MKE WAKE NA KISHA YEYE MWENYEWE KUJIUA."
Kupitia kauli hiyo tunaweza kuwa tunamlinda muhalifu bila hata kufahamu.
Ukifanya Tathimini pengine unaweza tambua aliyemuuwa Mke sio Mume na pengine Mume kajiuwa ili kuepusha shari huenda...
Hivi sensa itamuhesabu vipi yule Mtu anayelala Darajani Salenda au kwenye Mabaraza pale Manzese? 🤔
Ikiwa tunasema ni sensa ya watu na makazi?
Na itakuaje kuhusu bajeti ya mtu huyu baada ya yeye kutokuhesabiwa kwa kuwa hana makazi maalumu na darajani pale au sokoni ambapo anapatikana wakati wa...
Huu ni Utumwa Katika Elimu.
Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani.
Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu kukwepa tuition tukihofia wazazi kutuadhibu yote sababu tunaonekana kuchezea pesa yake ambayo anaitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.