Recent content by abdiabdillah517gmailcom

  1. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Shabiby mlinzi wa shamba la bibi anayehangaishwa na ngedere

    Akipata mchongo nondo kwishney.
  2. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume atuma salamu kwa CHADEMA: "Nawasubiri na udini na ukabila wenu"

    we ni CUF uliyeumizwa na ACT tunakujua.
  3. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Serikali ivunje Baraza la Madiwani Jiji la Arusha

    Hivi haya masisiem yanaelewa kweli.
  4. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aitaka CHADEMA iweke hadharani Mapendekezo waliyompelekea Rais Samia kwani kufichaficha kunatia shaka

    Zito hakupenda maridhiano kati ya mbowe na Rais hata suala la Mbowe kwenda Ikulu mara mbili na kuwaona viongozi wa juu wa Chadema wakiwa Ikulu hilo jambo lilimuuma na linaendelea kumuuma sana .alitaka hivi kwa nini isiwe ACT.
  5. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Madiwani 41 Moshi wamkataa Mkurugenzi wa Halmashauri

    Halmashaur ya Moshi [Mjini] na Halmashauri ya Moshi vijijini.
  6. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Serikali ivunje Baraza la Madiwani Jiji la Arusha

    Nanyaro ni mtu makini sana, kwanza hana njaa ndogondogo, hanunuliki kirahisi hafichi jina wala sura, hana makuu, tunakunywa nae kahawa hapa stendi soko kuu kijiwe cha siasa chapa kazi diwani wetu na meya wetu 2025 to 2030,
  7. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo iko tayari kuwapokea Halima Mdee na wenzake

    Kuanza upya mh; tusubiri.
  8. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Jimbo la Hai

    Sie tunangalia mbele mwenzetu shingo umegeuzia nyuma,
  9. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akutana na Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Jimbo la Hai

    Muda mchache tu tulifanya nae kikao Kijiji cha Usari Kata yetu ya Narumu, ndipo wakaelekea ofisi ya Chadema wilaya Hai, Mungu ibariki Chadema na viongozi wake wote. by RITTE.
  10. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania INAUZWA T-shirts Na Bukta Kali Za Mtumba (Bei Ya Kutupa)

    Sokota sugar ray mtaa Yombo au.
  11. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Wapenda Gym wengi na skendo za ushoga na waume za watu

    Wenye wake hutafuta mtu wa kumshtua ndipo anawahi kwa mkewe kwa ajili ya mechi, mmoja alinijibu hivyo.
  12. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Wapenda Gym wengi na skendo za ushoga na waume za watu

    Wengine hulamba koni na hela anakupa,sio masihara mwenyewe limenitokea,.
  13. abdiabdillah517gmailcom

    JamiiForums Tanzania Wapenda Gym wengi na skendo za ushoga na waume za watu

    Hata mimi kuna mwanafunzi wa sekondari ya Haramain hapo Ilala aliwahi kunitongoza, idadi ni nyingi, hatari sana.
Back
Top Bottom