Recent content by Abdallahsaidy

  1. A

    TANESCO tuhurumieni wana Tanga

    Kweli man angu wanazingua sana hao jamaa, alafu kauli mbiu ya raisi apa kazii tuu kwa staili kazi hazifanyiki kamwe, acha vijana wamue kushikaa mitutu na kuingia mitaanii kwan wayatakaa
  2. A

    Tigo yaomba radhi kukosekana kwa mtandao

    Kweli msamaha wa maneno matupu hautusaidii chochote, kwani jana madili yetu mengi yamefeli kwajili yenu, sasa hizo hasara nani hatazilipa.
  3. A

    Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    Ni kweli mkuu yawezekana huko kwenye majimbo yao mambo yamaendeleo yalikua chini ndomana yakapigwa chinii ankooo
  4. A

    Kafulila aliangusha serikali #ESCROW ufisadi, Lembeli #TOKOMEZA. Yamewakuta! Hawa ndio watanzania!

    Ni haohao wanaoendekeza hongo ndogondogo za tshirty, kofia vitenge na kupikiwa mxoc ndo wanaosababisha ugumu wa mabadilikoo toka kwa mafisadi ccm
  5. A

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Ndo mnayaona leo hyi cioo,hachenii polojoo zeniii
Back
Top Bottom