Recent content by Abdallah basili

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ratco na tanga beach resort

    Mbona enzi za mwalimu Nyerere yule kijana wake(Makongoro) hakuwa na utajiri wa kuweza kumiiki biashara kama hizo???
  2. A

    JamiiForums Tanzania CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

    Hizi ni dalili tosha za mfa maji. Kifo cha ccm kinakaribia. Iweje wabunge wa ccm wapitishe halafu baada ya kuona upepo unakuwa mbaya Nape anakanusha???
  3. A

    JamiiForums Tanzania CNN kuonyesha Obama akiwa ubalozi wa marekani,na TBC kushindwa kuonyesha ni AIBU

    Tangu wamuondoe mzee Tido, mambo yamekuwa shaghala bagala pale TBC. Bado hajapatikana wa kuvaa viatu vya Tido.
Back
Top Bottom