Recent content by Abdalla Mohd Ali

  1. Abdalla Mohd Ali

    Kutotangaza Top 10 kutapunguza usongo shule za vipaji maalum

    [emoji817][emoji817][emoji817] Faida ya kutangaza ipo hata ikawa unazifanyia market hamna shida Ni haki yake imejitahidi haipunguzi kitu kutaja top 10 ila inaleta competition.
  2. Abdalla Mohd Ali

    USHAURI KWA WADOGO ZANGU MNAOTAKA KUUNGANISHA CPA BAADA YA CHUO

    Kwanin watu walosoma degree mbali na uhasibu wanafanya CPA kwa lengo gn?
  3. Abdalla Mohd Ali

    USHAURI KWA WADOGO ZANGU MNAOTAKA KUUNGANISHA CPA BAADA YA CHUO

    Mkuu Kwann watu walosoma degree mbali na uhasibu wanafanya CPA kwa lengo gn???
  4. Abdalla Mohd Ali

    Kuna tofauti gani ya maslahi kati ya muhasibu mwenye CPA na asiye na CPA?

    Kwanin mtu aliesomea degree mbali na uhasibu anafanya CPA kwa lengo gni??
  5. Abdalla Mohd Ali

    Niulize swali lolote kuhusu IFM

    Vp hiii kozi ya Acturial science na marketable yake
  6. Abdalla Mohd Ali

    Niliomba Chuo first selection IFM in Acturial Science nimeambiwa ni over capacity nifanyaje?

    Kama Hana 1 ya point 6 Udsm asiulize hio kozi Hapo IFM mwakajana Kuna ana div3 kapa hio Acturial science
  7. Abdalla Mohd Ali

    Chemical Engeneer vs Acturial science

    Samahani mkuu Sababu jpo 1
  8. Abdalla Mohd Ali

    Chemical Engeneer vs Acturial science

    Habar za muda wakuu Samahanini sana wanajamvi Selection za vyuo zmetoka Kama kunamtu kapata Acturial science (IFM) Na Kapata Chemical Engeneer (UDSM) kozi zote anazipenda Vp hapa kijana huyu aende wap kwa kuzingatia soko la ajira kwasasa Naomben msaada wenu Ahsanteni ...
  9. Abdalla Mohd Ali

    Kuhusu Acturial science

    Ok ahsante sana mkuu Umewasilisha
  10. Abdalla Mohd Ali

    Kuhusu Acturial science

    Wakuu hiii kozi nayo iko vp kisoko na je ukimaliza upo mtihani kama vile CPA
  11. Abdalla Mohd Ali

    Baada ya kumaliza NTA6, kipi bora niendelee na Shahada au nifanye mengine kwanza?

    Mdogo wangu Tz saiv kila ukichelewa kusoma ndo soko la ajira linazidi kupungua saiv watu wapo wengi na kila siku watu wanaongezeka na vyuo vinazidi kuanzisha kozi hzo hzo Nenda kafanye Bachelor haraka sana Utakuja kunishkuru Baadae
  12. Abdalla Mohd Ali

    Chemical Engeneer

    Wakuu sehem gani Chemical Engeneer anaweza kufit peke yake yaan bila yy kuwepo kitu hicho hakifanyiki
Back
Top Bottom