Recent content by abdala pembe

  1. abdala pembe

    JamiiForums Tanzania Je, naweza nikasoma information technology ikiwa mimi ni mwana arts?

    sas sasa mimi math nina D HAWAWEZI WAKANICHUKUA KWELI?
  2. abdala pembe

    JamiiForums Tanzania HABARI WANA KIKUNDI HUMU NDANI;

    mimi ni mwanafunz ambaye nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimesomea masomo ya arts lakini nimeamua kwenda kujiunga na veta kwenda kusomea plant operator je naombeni ushauli wana kikundi kuhusu hii kozi inalipa?
  3. abdala pembe

    JamiiForums Tanzania Je, naweza nikasoma information technology ikiwa mimi ni mwana arts?

    mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka jana nimesoma masomo ya art lakini nahitaji kusomea information technology,je naweza nikasomea ikiwa mimi ni mwana arts
  4. abdala pembe

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

    wadau naombeni mnipe msaada kuwa mimi nmesoma masomo ya arts naweza nikasoma certificates ya information technology ikiwa mathe nina alama D wana kikundi naombeni msaada kutoka kwenu
  5. abdala pembe

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    acha masihara wewe
Back
Top Bottom