Recent content by abcd123

  1. A

    JamiiForums Tanzania UDSM yang'aka Prof. Kabudi kutajwa orodha ya wenye vyeti vyenye utata. Yataka watoa orodha waulizwe

    Ah ah hah nimecheka sana aisee
  2. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Maonyesho makubwa ya kijeshi huko Korea Kaskazini, dadadeki

    Bro Israel ni kichwa kingine usilinganishe na hawa wanaotambiana. Israel antumia akili kubwa nguvu kidogo bro
  3. A

    JamiiForums Tanzania Roth ira ni nini na je unajua siri iliyojificha nyuma yake??

    Sasa jana tarehe 21/02/2017 nikaamua kwenda bank physicaly. Kwa kweli nimeamini Tanzania hii watu sio watafiti. Eti wakaniambia niende EWURA ndo huwa wana accounts kama hizi sasa nikawauliza kama wako na accounts hizi kwani wanafungulia wapi si ni Bank???? wakabaki wameniangalia tu sasa walikuwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Roth ira ni nini na je unajua siri iliyojificha nyuma yake??

    Wadau habari za mihangahiko. Nimebahatika kusoma kitabu ambacho kinaelezea financial discipline and opportunities nikaona kitu kinaitwa Roth IRA je wewe wakijua?? Baada ya kusoma zaidi nikagundua kuwa ni kiasi cha hela ambacho mtu unaamua kukiwekeza katika mfuko flani wa pensiion au taasisi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Hiii imetulia sana aisee nimependa mawazo yako kamanada. THINK BIG imetumika hapa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jiondoe kwenye adha ya kupaka rangi kila mara kwa kutumia materials hizi

    Aisee sasa hujaweka bei bado ndugu. Mfano sebule nzima inaweza kugharimu kiasi gani
Back
Top Bottom