Recent content by abbas

  1. A

    Msaada Kesi ya Mirathi

    Asante sana...lkn sio kila suala lazima ujibu bora ukae kimya ....Nichumu busara za kukaa kimya ni bora kwa afya ya ubungo wako
  2. A

    Msaada Kesi ya Mirathi

    Baada ya kukaa chini na dada yangu tukashauria kutafuta mwanasheria ili atusaidie. Nilipata ushauri kwa mtu akaniambia niende ofisi za WLAC Dar watanisaidia. Nilipowaeleza wakasema wanayo ofisi ktk wilaya ya muleba nikapewa namba zao mama na dada wakazitafuta ofisi za WLAC na kuonana na...
  3. A

    Msaada Kesi ya Mirathi

    Nimeandika thread inayofuta. Ila samahani jf ndo nimeitumia leo hope nitaprove inshallah
  4. A

    Msaada kesi ya wa kisheria

    Sasa baada ya kukaa kutafakari nikapata washauri wakanielekeza WLAC msaada wa kisheria kwa akina mama. Nilipenda ofisi zao Dar makao makuu. Nikashauriwa nipeleke taarifa hizo ofisi zao wilaya muleba. Tukamuona mwanasheria akapewa vielelezo vya kesi kuanzia mwanzo. Akatuandikia barua kurudi...
  5. A

    Msaada Kesi ya Mirathi

    Baba yetu amefariki miaka 2 ililiyopita. Kabla ya kifo chake mwaka 1998 alioa mke mwingine na akaishi nae katika nyumba alipokuwa unaishi mama na wadogo zangu. Mama akalalamika baba na mke wake mdogo wakampiga mpaka akapoteza fahamu na kumdhuru sana mwili. Lakini kwa ufupi mama akamushitaki...
Back
Top Bottom