wana jf mimi ni mgeni ktk huu uzi naanza kwa kuwaomba razi kuingilia maongez yenu mazuri.naomba msaada kuhusu chanel ya rdv inayopatkana amos5.inasiku kazaa haioneshi picha wala audio.natumia rcva ya azam huwa haitoi habar zaid ya no signal.nijulishen chochote tatzo la chanel hii.asanten kwa...
Msimu uliopita tulikuwa tunapata epl game 2@wiki kwa chanel ya rdv fta. Je msimu huu wapo hewan tena kutupa game 2 kla wikiend? Pia kwa utafti wang mdogo nmeona ligi la liga haipo fta hata mechi 1 kwa wiki.je ni kwel hakna chanel ya fta inayorusha game hata 1? Wakuu msaada katka haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.